Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Akawa siku tatu haoni, wala hali, wala hanywi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Saulo alikaa siku tatu bila kuona, na wakati huo hakula au kunywa chochote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Saulo alikaa siku tatu bila kuona, na wakati huo hakula au kunywa chochote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Saulo alikaa siku tatu bila kuona, na wakati huo hakula au kunywa chochote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kwa muda wa siku tatu alikuwa kipofu; naye hakula wala kunywa chochote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Naye kwa muda wa siku tatu alikuwa kipofu naye hakula wala kunywa chochote.

Tazama sura Nakili




Matendo 9:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi palikuwapo mwanafunzi Dameski, jina lake Anania. Bwana akamwambia katika njozi, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.


Saul akaondoka katika inchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu: wakamshika mkono wakamleta hatta Dameski.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo