Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Saul akaondoka katika inchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu: wakamshika mkono wakamleta hatta Dameski.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Saulo aliinuka, na alipofumbua macho yake hakuweza kuona chochote; hivyo wale watu wakamwongoza kwa kumshika mkono mpaka mjini Damasko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Saulo aliinuka, na alipofumbua macho yake hakuweza kuona chochote; hivyo wale watu wakamwongoza kwa kumshika mkono mpaka mjini Damasko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Saulo aliinuka, na alipofumbua macho yake hakuweza kuona chochote; hivyo wale watu wakamwongoza kwa kumshika mkono mpaka mjini Damasko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Sauli akainuka kutoka pale chini na alipojaribu kufungua macho yake hakuweza kuona kitu chochote. Basi wakamshika mkono wakamwongoza hadi Dameski.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Sauli akainuka kutoka pale chini na alipojaribu kufungua macho yake hakuweza kuona kitu chochote. Basi wakamshika mkono wakamwongoza mpaka Dameski.

Tazama sura Nakili




Matendo 9:8
10 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, angalia, mkono wa Bwana ni juu yako, nawe utakuwa kipofu, usilione jua kwa muda kitambo. Marra kiwi kikamwangukia na giza, akazungukazunguka na kumtafuta mtu wa kumshika mkono na kumwongoza.


Na nilipokuwa sioni kwa sababu ya fakhari ya nuru ile, nikaongozwa na mikono yao waliokuwa pamoja nami, nikafika Dameski.


Marra yakaanguka machoni pake kama magamba, akapata kuona akasimama, akabatizwa;


Akawa siku tatu haoni, wala hali, wala hanywi.


Katika Dameski liwali wa Areta mfalme alikuwa akiulinda mji wa Wadameski, akitaka kunikamata;


wala sikupanda kwenda Yerusalemi kwa hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nalikwenda zangu Arabuni nikarudi teua Dameski.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo