Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 9:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Na watu waliosafiri pamoja nae wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Watu waliokuwa wakisafiri pamoja na Sauli wakasimama bila la kusema, kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Watu waliokuwa wakisafiri pamoja na Sauli wakasimama bila kuwa na la kusema, kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza.

Tazama sura Nakili

Matendo 9:7
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi makutano waliosimama karibu wakasikia, wakanena kwamba kumekuwa ngurumo; wengine walisema, Malaika amesema nae.

Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, wakaingia khofu, illakini hawakuisikia ile sauti.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo