Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Akasema, U nani Bwana? Akasema, Mimi ndimi Yesu unaeniudhi wewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Naye Saulo akauliza, “Ni nani wewe Bwana?” Na ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Naye Saulo akauliza, “Ni nani wewe Bwana?” Na ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Naye Saulo akauliza, “Ni nani wewe Bwana?” Na ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Isa unayemtesa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Isa unayemtesa.”

Tazama sura Nakili




Matendo 9:5
15 Marejeleo ya Msalaba  

Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijala kamwe kitu kilicho kichafu au najis.


Tukaanguka chini sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Saul! Saul! ya nini kunindhi? ni vigumu kwako kunpiga mateke mchokoo.


Kweli, mimi mwenyewe naliona ndani ya nafsi yangu kwamba yanipasa kutenda mambo mengi yaliyopingamana na jina lake Yesu Mnazareti;


illakini ikiwa ya Mungu hamwezi kuivunja; msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu.


Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Saul, Saul, mbona wanifukuza?


Lakini simama, uingie mjini, utaambiwa yatakayokupasa kutenda.


Au twamtia Bwana wivu? au tuna nguvu zaidi ya yeye?


Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! bali nafuatafuata illi nilishike lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu.


mimi niliyekuwa kwanza mtukanaji, mwenye kuudhi watu, mwenye jeuri: lakini nalirehemiwa kwa kuwa nalitenda hivyo kwa njinga, na kwa kutokuwa na imani;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo