Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Hatta Petro akakaa siku kadha wa kadha huko Yoppa, nyumbani mwa mtu mmoja, jina lake Simon, mtengenezaji wa ngozi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Petro alikaa siku kadhaa huko Yopa, akiishi kwa mtu mmoja mtengenezaji wa ngozi aitwaye Simoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Petro alikaa siku kadhaa huko Yopa, akiishi kwa mtu mmoja mtengenezaji wa ngozi aitwaye Simoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Petro alikaa siku kadhaa huko Yopa, akiishi kwa mtu mmoja mtengenezaji wa ngozi aitwaye Simoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Petro akakaa Yafa kwa siku nyingi akiishi na Simoni mtengenezaji ngozi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Petro akakaa Yafa kwa siku nyingi akiishi na Simoni mtengenezaji ngozi.

Tazama sura Nakili




Matendo 9:43
12 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, tuma watu kwenda Yoppa, ukamwite Simon aitwae Petro, aje hapa; anakaa katika nyumha ya Simon, mtengenezaji wa ngozi, karibu ya pwani: nae akija atasema nawe.


Bassi, peleka watu Yoppa, ukamwite Simon, aitwae Petro:


Yeye ni mgeni wa mtu mmoja, jina lake Simon, mtengenezaji wa ngozi; nyumba yake iko pwani; atakuambia yakupasayo kutenda.


na alipokwisha kuwaeleza mambo yote akawatuma kwenda Yoppa.


akatueleza jinsi alivyomwona malaika aliyesimama nyumbani mwake na kumwambia, Tuma watu kwenda Yoppa ukamwite Simon, aitwae Petro


Ikawa nilipoanza kunena, Roho Mtakatifu akawashukia kama alivyotushukia sisi mwanzo.


Na kwa kuwa Ludda ulikuwa karibu na Yoppa, nao wamesikia ya kwamha Petro yuko huko, wakatuma watu wawili kwake, kumsihi asikawie kuja kwao.


Ikajulikana katika Yoppa, katika mji mzima, watu wengi wakamwamini Bwana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo