Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Ikajulikana katika Yoppa, katika mji mzima, watu wengi wakamwamini Bwana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Habari za tukio hili zilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Habari za tukio hili zilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Habari za tukio hili zilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana Isa.

Tazama sura Nakili




Matendo 9:42
17 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliposikia, alisema, Ugonjwa huu si wa mauti, bali kwa ajili ya utukufu wake Mungu, illi Mwana wa Mungu atukuzwe kwa huo.


Bassi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu na kuyaona aliyoyafanya Yesu, wakamwamini.


maana kwa ajili yake wengi katika Wayahudi walikwenda zao, wakamwamini Yesu.


Yesu akapaaza sauti yake akasema, Aniaminiye mimi, haniamini mimi, bali yeye aliyenipeleka.


Bassi, peleka watu Yoppa, ukamwite Simon, aitwae Petro:


na alipokwisha kuwaeleza mambo yote akawatuma kwenda Yoppa.


akatueleza jinsi alivyomwona malaika aliyesimama nyumbani mwake na kumwambia, Tuma watu kwenda Yoppa ukamwite Simon, aitwae Petro


Mkono wa Bwana ukawa pamoja nao: watu wengi wakaamini, wakamwelekea Bwana.


Nalikuwa katika mji wa Yoppa, nikiomba, roho yangu ikazimia, nikaona maono; chombo kama nguo kubwa kikishuka, kinashushwa kutoka mbinguni kwa pembe zake nne, kikanifikilia.


Marra akaondoka. Na watu wote waliokaa Ludda na Saron wakamwona, wakamgeukia Bwana.


Na mwanafunzi mmoja alikuwako Yoppa, jina lake Tabitha, (tafsiri yake ni paa:) mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.


Na kwa kuwa Ludda ulikuwa karibu na Yoppa, nao wamesikia ya kwamha Petro yuko huko, wakatuma watu wawili kwake, kumsihi asikawie kuja kwao.


Hatta Petro akakaa siku kadha wa kadha huko Yoppa, nyumbani mwa mtu mmoja, jina lake Simon, mtengenezaji wa ngozi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo