Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Saul, Saul, mbona wanifukuza?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Akaanguka chini na kusikia sauti ikimwambia: “Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Akaanguka chini na kusikia sauti ikimwambia: “Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Akaanguka chini na kusikia sauti ikimwambia: “Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?”

Tazama sura Nakili




Matendo 9:4
22 Marejeleo ya Msalaba  

Na mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambieni. Kadiri mlivyomtendea mmojawapo katika hawo ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.


Bwana akamjibu akamwambia, Martha, Martha, unajisumbua na kujifadhaisha kwa ajili ya mambo mengi:


Bassi alipowaambia. Mimi ndiye, walirudi nyuma, wakaanguka chini.


Yesu akamwambia, Mariamu. Yeye akageuka, akamwambia kwa Kiebrania, Rabboni (tafsiri yake Mwalimu).


Bassi walipokwisha kula, Yesu akamwambia Simon Petro, Simon wa Yohana, wanipenda kuliko bawa? Akamwambia, Naam, Bwana; wewe wajua ya kuwa nakupenda. Akamwambia, Lisha wana kondoo wangu.


Marra akaanguka miguuni pake akafa: wale vijana wakaingia wakamkuta amekufa, wakamchukua nje, wakamzika pamoja na mumewe.


Akasema, U nani Bwana? Akasema, Mimi ndimi Yesu unaeniudhi wewe.


Fahamu, bassi, wema na ukali wa Mungu; kwa wale walioanguka ukali, bali kwako wema, ukikaa katika wema huo; kama sivyo, wewe nawe utakatiliwa mbali.


Maana kama vile mwili ni mmoja, nao nna viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule mmoja, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo.


Maana ni nani anaekupambanua na mwingine? na una, nini usiyoipokea? Na iwapo uliipokea, wajisifiani kana kwamba hukuipokea?


kwa kuwa tu viungo vya mwili wake, na nyama yake, na mifupa yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo