Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Akamwona mtu mmoja huko, jina lake Ainea mtu huyo amelala kitandani miaka minane; maana alikuwa amepooza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea ambaye kwa muda wa miaka minane alikuwa amelala kitandani kwa sababu alikuwa amepooza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea ambaye kwa muda wa miaka minane alikuwa amelala kitandani kwa sababu alikuwa amepooza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea ambaye kwa muda wa miaka minane alikuwa amelala kitandani kwa sababu alikuwa amepooza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea, aliyekuwa amepooza na kwa muda wa miaka nane alikuwa hajatoka kitandani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea, ambaye alikuwa amepooza na kwa muda wa miaka minane alikuwa hajaondoka kitandani.

Tazama sura Nakili




Matendo 9:33
13 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.


Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka thenashara,


Akamwuliza baba yake, Tangu wakati gani amepatwa na haya? Akasema, Tangu utoto.


Na huyu, aliye binti Ibrahimu, amhae Shetani amemfunga miaka kumi na minane hii, haikupasa afunguliwe kifungo hiki siku ya sabato?


Na huko palikuwa na mtu, amekuwa hawezi muda wa miaka thelathini na minane.


HATTA alipokuwa akipita akamwona nitu, kipofu tangu kuzaliwa.


lakiui jinsi aonavyo sasa, hatujui, na ni nani aliyemfumbua macho, hatujui; yeye ni mtu mzima; mwulizeni yeye mwenyewe, atajisemea.


Na huko Lustra palikuwa na mtu mmoja, dhaifu wa miguu, kiwete tangu tumboni mwa mama yake, ambae hajaenda kabisa.


Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mama yake alichukuliwa na watu, wakamweka killa siku katika mlango wa hekalu nitwao Mzuri, illi aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu.


maana umri wake yule mtu aliyefanyiwa ishara hii ya kuponya ulipita miaka arubaini.


Hatta Petro alipokuwa akizungukazunguka pande zote akawatelemkia watakatifu waliokaa Ludda.


Petro akamwambia, Ainea, Yesu Kristo akuponya: ondoka, ukatandike kitanda chako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo