Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Hatta Petro alipokuwa akizungukazunguka pande zote akawatelemkia watakatifu waliokaa Ludda.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa wanaishi Luda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa wanaishi Luda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa wanaishi Luda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Petro alipokuwa akisafiri sehemu mbalimbali, alienda kuwatembelea watakatifu walioishi huko Lida.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Petro alipokuwa akisafiri sehemu mbalimbali, alikwenda kuwatembelea watakatifu walioishi huko Lida.

Tazama sura Nakili




Matendo 9:32
18 Marejeleo ya Msalaba  

makaburi yakafunuka; ikafufuka miili mingi ya watakatifu waliolala;


Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemi, na katika Yahudi yote, na Samaria, na hatta mwisho wa inchi.


nikayafanya Yerusalemi: niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na makuhani wakuu; na walipouawa nalitoa idhini yangu.


Na mitume walioko Yerusalemi, waliposikia ya kwamba Samaria imelikubali neno la Mungu, wakawapelekea Petro na Yohana.


Nao walipokwisha kushuhudia na kulikhubiri neno la Bwana wakarudi Yerusalemi wakaikhubiri Injili katika vijiji vingi vya Wasamaria.


Lakini Anania akajibu, Bwana, nimesikia khabari za mtu huyu kwa watu wengi, mabaya mengi aliyowatenda watakatifu wako Yerusalemi:


Akamwona mtu mmoja huko, jina lake Ainea mtu huyo amelala kitandani miaka minane; maana alikuwa amepooza.


Akampa mkono, akamwinua; hatta akiisha kuwaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, yu hayi.


kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu: Neema iwe kwenu na imani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwaua Yesu Kristo.


PAOLO, mtume wa Yesu Kristo, kwa mapenzi ya Mungu, kwa watakatifu walio katika Efeso na wanaomwamini Kristo Yesu;


PAOLO na Timotheo, watumwa wa Yesu Kristo, kwa watakatifu wote katika Kristo Yesu, walio katika Filipi, pamoja na maaskofu na wakhudumu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo