Matendo 9:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192131 Bassi makanisa wakapata raha katika Yahudi yote na Galilaya na Samaria, wakajengewa, wakiendelea katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Wakati huo kanisa likawa na amani popote katika Yudea, Galilaya, na Samaria. Lilijengwa na kukua katika kumcha Bwana, na kuongezeka likitiwa moyo na Roho Mtakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Wakati huo kanisa likawa na amani popote katika Yudea, Galilaya, na Samaria. Lilijengwa na kukua katika kumcha Bwana, na kuongezeka likitiwa moyo na Roho Mtakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Wakati huo kanisa likawa na amani popote katika Yudea, Galilaya, na Samaria. Lilijengwa na kukua katika kumcha Bwana, na kuongezeka likitiwa moyo na Roho Mtakatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Ndipo waumini katika Yudea yote, Galilaya na Samaria wakawa na wakati wa amani. Likatiwa nguvu; na kwa kuwezeshwa na Roho wa Mungu, idadi yao ikaongezeka, na wakaendelea kudumu katika kumcha Bwana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Ndipo waumini katika Uyahudi wote, Galilaya na Samaria wakafurahia wakati wa amani. Wakatiwa nguvu, na kwa faraja ya Roho wa Mwenyezi Mungu, idadi yao ikazidi kuongezeka, na wakaendelea kudumu katika kumcha Bwana Isa. Tazama sura |