Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 9:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Nae akawa pamoja nao katika Yerusalemi akiingia na kutoka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Basi, Saulo alikaa pamoja nao, akatembelea Yerusalemu yote akihubiri neno la Bwana bila hofu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Basi, Saulo alikaa pamoja nao, akatembelea Yerusalemu yote akihubiri neno la Bwana bila hofu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Basi, Saulo alikaa pamoja nao, akatembelea Yerusalemu yote akihubiri neno la Bwana bila hofu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Kwa hiyo Sauli akakaa nao akitembea kwa uhuru kila mahali huko Yerusalemu, akihubiri kwa ujasiri katika jina la Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Kwa hiyo Sauli akakaa nao akitembea kwa uhuru kila mahali huko Yerusalemu, akihubiri kwa ujasiri katika jina la Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Matendo 9:28
10 Marejeleo ya Msalaba  

Mimi ndimi niliye mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka, ataingia, atatoka, na atapata malisho.

Bassi katika watu waliofuatana nasi wakati wote ambapo Bwana Yesu alikuwa akiingia kwetu na kutoka kwetu,

Bassi walipoona ujasiri wa Petro na Yohana, na kujua ya kuwa ni watu wasio elimu, wasio maarifa, wakastaajabu, wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na Yesu.

Bassi sasa, Bwana, yaangalie maogofya yao; ukawajalie watumishi wako kunena neno lako kwa uthabiti,

Akaneua kwa jina lake Yesu pasipo khofu, akinena na kushindana na Wahelenisti. Nao wakajaribu kumwua.

Kiisha, baada ya miaka mitatu, nalipanda kwenda Yerusalemi illi nionaue na Kefa, nikakaa kwake siku kumi na tano.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo