Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 9:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Na Saul alipofika Yerusalemi, alijaribu kujiunga na wanafunzi, nao walikuwa wakimwogopa wote, wasisadiki ya kuwa yeye ni mwanafunzi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Saulo alipofika Yerusalemu alijaribu kujiunga na wale wanafunzi. Lakini wote walimwogopa hawakuweza kuamini kwamba yeye amekuwa mfuasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Saulo alipofika Yerusalemu alijaribu kujiunga na wale wanafunzi. Lakini wote walimwogopa hawakuweza kuamini kwamba yeye amekuwa mfuasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Saulo alipofika Yerusalemu alijaribu kujiunga na wale wanafunzi. Lakini wote walimwogopa hawakuweza kuamini kwamba yeye amekuwa mfuasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Sauli alipofika Yerusalemu akajaribu kujiunga na wanafunzi lakini wote walimwogopa, kwa maana hawakuamini kwamba kweli naye alikuwa mwanafunzi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Sauli alipofika Yerusalemu akajaribu kujiunga na wanafunzi lakini wote walimwogopa, kwa maana hawakuamini kwamba kweli naye alikuwa mwanafunzi.

Tazama sura Nakili

Matendo 9:26
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wengi watajikwaa, na watasalitiana, na kuchukiana.

hali kwanza niliwakhubiri wale wa Dameski na Yerusalemi, na katika inchi yote ya Yahudi, na watu wa mataifa, watubu wakamwelekee Mungu, wakiyatenda matendo yanayopatana na kutubu kwao.

Hatta walipofunguliwa, wakaenda kwa watu wao, wakawapasha khabari ya mambo yote waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee.

akala chakula, akapata nguvu. Akawa huko siku kadhawakadha pamoja na wanafunzi walioko Dameski.

Wanafunzi wakamtwaa usiku wakamshusha ukutani, wakimtelemsha katika kapu.

bali kwa ajili ya ndugu za uwongo walioingizwa kwa siri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo