Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 lakini hila yao ikajulikana na Saul. Wakamvizia malangoni mchana na usiku wapate kumwua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Lakini Saulo alipata habari ya mpango huo. Usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumuua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Lakini Saulo alipata habari ya mpango huo. Usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumuua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Lakini Saulo alipata habari ya mpango huo. Usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumuua.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Lakini Sauli akagundua njama yao. Wayahudi wakawa wanalinda malango yote ya mji, usiku na mchana ili wapate kumuua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Lakini shauri lao likajulikana kwa Sauli. Wayahudi wakawa wanalinda malango yote ya mji, usiku na mchana ili wapate kumuua.

Tazama sura Nakili




Matendo 9:24
15 Marejeleo ya Msalaba  

nikimtumikia Bwana kwa unyenyekevu wote, na machozi, na majaribu yaliyonipata kwa hila za Wayahudi;


Alipokwisha kukaa huko miezi mitatu, Wayahudi wakamfanyyia vitimbi, alipotaka kwenda Sham kwa njia ya bahari: bassi akaazimu kurejea kwa ujia ya Makedonia.


Hatta nilipopewa khabari kwamba patakuwa na vitimbi juu ya mtu huyu, marra nikampeleka kwako, nikawaagiza na wale walioshitaki, wanene khabari zake mbele yako. Salamu.


Ikiwa nimekosa au nimetenda neno la kustahili kufa, sikatai kufa; hali, kama si kweli neno hili wanalonishitaki, hapana awezae kunitia mikononi mwao. Nataka rufaani kwa Kaisari.


na kumwomba awafadhili, na kutoa amri aletwe Yerusalemi, wapate kumwotea na kumwua njiani.


Wanafunzi wakamtwaa usiku wakamshusha ukutani, wakimtelemsha katika kapu.


Katika Dameski liwali wa Areta mfalme alikuwa akiulinda mji wa Wadameski, akitaka kunikamata;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo