Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Hatta siku nyingi zilipopita, Wayahudi wakafanya shauri illi wamwue:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumuua Saulo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumuua Saulo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumuua Saulo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi wakapanga njama kumuua Sauli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi wakafanya shauri kumuua Sauli.

Tazama sura Nakili




Matendo 9:23
14 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Wayahudi wakawafitinisha wanawake watawa na watu wenye cheo na wakuu wa mji, wakawataharakisha watu wawaudhi Paolo na Barnaba; wakawatoa katika mipaka yao.


Wayahudi wakalika toka Antiokia na Ikonio, wakawashawishi makutano hatta wakampiga mawe Paolo wakamhurura nje ya mji, wakidhani ya kuwa amekwisha kufa.


Walakini Wayahudi wasioamini wakawataharakisha watu wa mataifa na kuwatia nia mbaya juu ya ndugu.


watu waliokhatirisha maisha zao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.


Alipokwisha kukaa huko miezi mitatu, Wayahudi wakamfanyyia vitimbi, alipotaka kwenda Sham kwa njia ya bahari: bassi akaazimu kurejea kwa ujia ya Makedonia.


Kulipopambazuka, baadhi ya Wayahudi wakafanya mapatano, wakajifunga kwa kiapo wakisema. Hatuli wala hatunywi hatta tutakapokwisha kumwua Paolo.


Maana nitamwonyesba mambo mengi makuu yatakayompasa kuteswa kwa ajili ya Jina langu.


Saul akazidi kuwa hodari, akawatia fadhaa Wayahudi waliokaa Dameski, akithubutisha ya kuwa huyu udiye Kristo.


kwa kusafiri marra nyingi; khatari za mito; khatari za wanyangʼanyi; khatari kwa jamaa; khatari kwa mataifa; khatari za mijini; khatari za jangwani; khatari za baharini; khatari kwa ndugu za uwongo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo