Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 9:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 akala chakula, akapata nguvu. Akawa huko siku kadhawakadha pamoja na wanafunzi walioko Dameski.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia. Saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia. Saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia. Saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Baada ya kula chakula, akapata nguvu tena. Sauli akakaa siku kadhaa pamoja na wanafunzi huko Dameski.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Baada ya kula chakula, akapata nguvu tena. Sauli akakaa siku kadhaa pamoja na wanafunzi huko Dameski.

Tazama sura Nakili

Matendo 9:19
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hajio Antiokia.

Na wale wanafunzi, killa mtu kwa kadiri alivyofanikiwa wakaazimu kupeleka msaada kwa ndugu zao waliokaa Yahudi.

hali kwanza niliwakhubiri wale wa Dameski na Yerusalemi, na katika inchi yote ya Yahudi, na watu wa mataifa, watubu wakamwelekee Mungu, wakiyatenda matendo yanayopatana na kutubu kwao.

Marra yakaanguka machoni pake kama magamba, akapata kuona akasimama, akabatizwa;

Na Saul alipofika Yerusalemi, alijaribu kujiunga na wanafunzi, nao walikuwa wakimwogopa wote, wasisadiki ya kuwa yeye ni mwanafunzi.

Na kwa kuwa Ludda ulikuwa karibu na Yoppa, nao wamesikia ya kwamha Petro yuko huko, wakatuma watu wawili kwake, kumsihi asikawie kuja kwao.

wala sikupanda kwenda Yerusalemi kwa hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nalikwenda zangu Arabuni nikarudi teua Dameski.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo