Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Marra yakaanguka machoni pake kama magamba, akapata kuona akasimama, akabatizwa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka machoni mwa Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka machoni mwa Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka machoni mwa Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Ghafula vitu kama magamba vikaanguka chini, kutoka machoni mwa Sauli, akapata kuona tena. Akasimama, akabatizwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Ghafula vitu kama magamba vikaanguka chini, kutoka machoni mwa Sauli, akapata kuona tena. Akasimama, akabatizwa.

Tazama sura Nakili




Matendo 9:18
11 Marejeleo ya Msalaba  

Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe killa mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.


Nao waliolipokea neno lake kwa furaha wakabatizwa: na siku ile wakazidishiwa watu wapata elfu tatu.


Nikamwinulia macho yangu saa ile ile.


Bassi sasa, unakawiliani? Simama ubatizwe ukaoshe dhambi zako, ukiliitia jina la Bwana.


Anania akaenda zake, akaingia mle nyumbani; akamwekea mikono akisema, Ndugu Saul, Bwana amenipeleka, Yesu, yeye aliyekutokea katika njia uliyoijia, upate kuona tena, ukajazwe Roho Mtakatifu.


akala chakula, akapata nguvu. Akawa huko siku kadhawakadha pamoja na wanafunzi walioko Dameski.


Saul akaondoka katika inchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu: wakamshika mkono wakamleta hatta Dameski.


pamoja na hayo fikara zao zilitiwa ugumu; kwa maana hatta leo utaji huo huo, wakati lisomwapo Agano la Kale, wakaa, haukuondolewa; ambao buoudolewa katika Kristo;


Kwa kuwa Mungu, aliyesema, Nuru itangʼaa toka gizani, ndive aliyengʼaa mioyoni mwetu, atupe nuru va elimu ya utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo