Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 9:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 nae amemwona mtu, jina lake Anania, akiingia, akiweka mikono juu yake, apate kuona tena.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 na katika maono ameona mtu aitwaye Anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate kuona tena.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 na katika maono ameona mtu aitwaye Anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate kuona tena.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 na katika maono ameona mtu aitwaye Anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate kuona tena.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 katika maono amemwona mtu aitwaye Anania akija na kuweka mikono juu yake ili apate kuona tena.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 katika maono amemwona mtu aitwaye Anania akija na kuweka mikono juu yake ili apate kuona tena.”

Tazama sura Nakili

Matendo 9:12
4 Marejeleo ya Msalaba  

akimsihi sana, akinena. Binti yangu mdogo yu katika kufa: nakuomba nje, nweke mkono wako juu yake, apate kupona, nae ataishi.

Wakawaweka mbele ya mitume, na walipokwisha kuomba wakaweka mikono yao juu yao.

Bassi palikuwapo mwanafunzi Dameski, jina lake Anania. Bwana akamwambia katika njozi, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo