Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 9:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 LAKINI Saul, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea kuhani mkuu,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Wakati huo Saulo alikuwa akizidisha vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa kuhani mkuu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Wakati huo Saulo alikuwa akizidisha vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa kuhani mkuu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Wakati huo Saulo alikuwa akizidisha vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa kuhani mkuu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Wakati ule ule, Sauli alikuwa bado anazidisha vitisho vya kuua wanafunzi wa Bwana Isa, akamwendea kuhani mkuu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Wakati ule ule, Sauli alikuwa bado anazidisha vitisho vya kuua wanafunzi wa Bwana Isa, akamwendea kuhani mkuu,

Tazama sura Nakili

Matendo 9:1
10 Marejeleo ya Msalaba  

wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyekwitwa Saul.

Saul akaliharibu kanisa, akiingia killa nyumba, na kuwabarura wanaume na wanawake na kuwatupa gerezani.

Maana mimi mdogo katika mitume, nisiyestahili kutajwa mtume, kwa sababu naliliudhi Kanisa la Mungu.

Maana mmesikia khabari za mwenendo wangu zamani katika dini ya Kiyahudi, kwamba naliliudhi kanisa la Mungu kupita kiasi nikaliharibu,

kwa jinsi ya haki ipatikanayo kwa sharia sikuwa na khatiya.

mimi niliyekuwa kwanza mtukanaji, mwenye kuudhi watu, mwenye jeuri: lakini nalirehemiwa kwa kuwa nalitenda hivyo kwa njinga, na kwa kutokuwa na imani;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo