Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 8:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Na makutano kwa nia moja wakasikiliza maneno yote yaliyosemwa na Filipo walipoyasikia na kuiona miujiza aliyokuwa akiifanya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Watu walijiunga kusikiliza kwa makini ule ujumbe wa Filipo na kuona ile miujiza aliyoifanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Watu walijiunga kusikiliza kwa makini ule ujumbe wa Filipo na kuona ile miujiza aliyoifanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Watu walijiunga kusikiliza kwa makini ule ujumbe wa Filipo na kuona ile miujiza aliyoifanya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Watu walipomsikia Filipo na kuona ishara na miujiza alizofanya, wakasikiliza kwa makini yale aliyosema.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Watu walipomsikia Filipo na kuona ishara na miujiza aliyofanya, wakasikiliza kwa bidii yale aliyosema.

Tazama sura Nakili




Matendo 8:6
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.


Na yeye Simon mwenyewe aliamini akabatizwa, akakaa na Filipo: akashangaa alipoziona ishara na miujiza mikubwa inayotendeka.


Filipo akatelemka akaingia mji wa Samaria, akawakhubiri Kristo.


Kwa maana pepo wachafu wakawatoka wengi waliopagawa nao, wakilia kwa sauti kuu: na watu wengi waliopooza, na viwete, wakaponywa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo