Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 8:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Kiisha, walipotoka majini, Roho ya Bwana ikamnyakua Filipo, yule tawashi asimwone tena; maana alikwenda zake akifurahi:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Walipotoka majini Roho wa Bwana akamfanya Filipo atoweke. Na huyo towashi hakumwona tena; lakini akaendelea na safari yake mwenye furaha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Walipotoka majini Roho wa Bwana akamfanya Filipo atoweke. Na huyo towashi hakumwona tena; lakini akaendelea na safari yake mwenye furaha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Walipotoka majini Roho wa Bwana akamfanya Filipo atoweke. Na huyo towashi hakumwona tena; lakini akaendelea na safari yake mwenye furaha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Nao walipotoka kwenye maji, ghafula Roho wa Bwana Mungu Mwenyezi akamnyakua Filipo, naye towashi hakumwona tena, lakini akaenda zake akifurahi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Nao walipopanda kutoka kwenye maji, ghafula Roho wa Mwenyezi Mungu akamnyakua Filipo, naye towashi hakumwona tena, lakini akaenda zake akifurahi.

Tazama sura Nakili




Matendo 8:39
29 Marejeleo ya Msalaba  

Tena ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyostirika katika shamba; mtu akaiona, akaificha; na kwa furaha yake akaenda akanza alivyo navyo vyote, akalinunua shamba lile.


Nae Yesu alipokwisha kubatizwa marra akapanda kutoka majini: mbingu zikamfunukia, akamwona Roho ya Mungu akishuka kama hua, akija juu yake:


Marra akapanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kwa mfano wa hua, akishuka juu yake;


Na wanafunzi walijaa furaha na Roho Mtakatifu.


Akawaleta juu nyumbani kwake, akawaandalia, akafurahi sana, yeye na nyumba yake yote, maana amekwisha kumwamini Mungu.


Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari bili, ukashikamane nalo.


Akaamuru lile gari lisimame: wakatelemka wote wawili majini. Filipo na yule tawashi: akambatiza.


Ikawa furaha kubwa kafika mji ule.


kwa yeye tumepata kwa njia ya imani kuifikia neema hii ambayo tunasimama ndani yake; na twafurahi katika tumaini la utukufu wa Mungu.


Maana sisi tu tohara, tumwabuduo Muugu kwa Roho, na kujisifu katika Kristo Yesu, wala hatuutumainii mwili. Walakini mimi ningeweza kuutumainia mwili.


Furahini katika Bwana siku zote; marra ya pili nasema, Furahini.


Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kwote kwa namna hii ni kubaya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo