Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 8:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Akaamuru lile gari lisimame: wakatelemka wote wawili majini. Filipo na yule tawashi: akambatiza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Basi, huyo ofisa akaamuru lile gari lisimame; na wote wawili, Filipo na huyo towashi wakashuka majini, naye Filipo akambatiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Basi, huyo ofisa akaamuru lile gari lisimame; na wote wawili, Filipo na huyo towashi wakashuka majini, naye Filipo akambatiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Basi, huyo ofisa akaamuru lile gari lisimame; na wote wawili, Filipo na huyo towashi wakashuka majini, naye Filipo akambatiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Naye akaamuru lile gari lisimamishwe. Filipo na yule towashi wakateremka kwenye maji pamoja, naye Filipo akambatiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Naye akaamuru lile gari lisimamishwe. Wakateremka kwenye maji wote wawili, yule towashi na Filipo, naye Filipo akambatiza.

Tazama sura Nakili




Matendo 8:38
6 Marejeleo ya Msalaba  

Mimi nawabatizeni katika maji mpate kutubu: bali yeye ajae nyuma yangu ni hodari kuliko mimi, wala sistahili hatta kuchukua viatu vyake; yeye atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.


wakabatizwa nae mtoni Yordani, wakiziungama dhambi zao.


BASSI Bwana alipojua ya kuwa Mafarisayo wamesikia kwamba Yesu anafanya wanafunzi wengi kuliko Yohana, na kubatiza,


Filipo akasema, Ukiamini kwa moyo wako wote, ni halali. Akajibu, akanena, Namwamini Mwana wa Mungu kuwa ndiye Yesu Kristo.


Kiisha, walipotoka majini, Roho ya Bwana ikamnyakua Filipo, yule tawashi asimwone tena; maana alikwenda zake akifurahi:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo