Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 8:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Yule tawashi akamjibu Filipo, Nakuomba, nabii huyu asema maneno haya kwa khabari ya nani; ni khabari zake mwenyewe an khabari za mtu mwingine?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Huyo Mwethiopia akamwambia Filipo, “Niambie, huyu nabii anasema juu ya nini? Anasema mambo haya juu yake yeye mwenyewe au juu ya mtu mwingine?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Huyo Mwethiopia akamwambia Filipo, “Niambie, huyu nabii anasema juu ya nini? Anasema mambo haya juu yake yeye mwenyewe au juu ya mtu mwingine?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Huyo Mwethiopia akamwambia Filipo, “Niambie, huyu nabii anasema juu ya nini? Anasema mambo haya juu yake yeye mwenyewe au juu ya mtu mwingine?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Yule towashi akamuuliza Filipo, “Tafadhali niambie, nabii huyu anena habari zake mwenyewe au habari za mtu mwingine?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Yule towashi akamuuliza Filipo, “Tafadhali niambie, nabii huyu anena habari zake mwenyewe au habari za mtu mwingine?”

Tazama sura Nakili

Matendo 8:34
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha Yesu akawaacha makutano, akaingia nyumbani: wanafunzi wake wakamwendea, wakinena, Tufafanulie mfano wa magugu ya konde.

Petro akajibu, akamwambia, Tueleze mfano huo. Yesu akasema,

Akaondoka, akaenda; marra akamwona mtu wa Ethiopia, tawashi, mwenye mamlaka chini ya Kandake malkiya wa Ethiopia, aliyewekwa juu ya hazina yake yote;

Katika kujidhili kwake hukumu yake iliondolewa. Ni nani atakaeeleza kizazi chake? Kwa maana uzima wake umeondolewa katika inchi.

Filipo akafunua kinywa chake na akilianzia andiko hili, akamkhubiri khabari njema za Yesu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo