Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 8:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 nae amekwenda Yerusalemi kuabudu, akawa akirejea, ameketi garini mwake akisoma chuo cha nabii Isaya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii Isaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii Isaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii Isaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 naye akiwa njiani kurudi nyumbani alikuwa ameketi kwenye gari lake la vita akisoma kitabu cha nabii Isaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 naye akiwa njiani kurudi nyumbani alikuwa ameketi garini mwake akisoma kitabu cha nabii Isaya.

Tazama sura Nakili




Matendo 8:28
19 Marejeleo ya Msalaba  

kaina ilivyoandikwa katika chuo cha maneno ya nabii Isaya, Sauti yake apigae mbiu jangwani, Itengenezeni njia ya Bwana, Nyosheni mapito yake.


Akapewa chuo cha nabii Isaya: bassi alipokwisha kukifunua chuo hicho, akapaona pahali palipoandikwa,


Na walipokuwa hawapatani wao kwawao, wakaenda zao, Paolo alipokwisha kusema neno hili moja ya kama, Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu, kwa kinywa cha nabii Isaya,


Akaondoka, akaenda; marra akamwona mtu wa Ethiopia, tawashi, mwenye mamlaka chini ya Kandake malkiya wa Ethiopia, aliyewekwa juu ya hazina yake yote;


Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari bili, ukashikamane nalo.


Neno la Kristo likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; kwa neema mkimwimbia Bwana mioyoni mwenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo