Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 8:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Malaika wa Bwana akasema na Filipo, akamwambia, Ondoka uende upande wa kusini hatta njia ile itelemkayo kutoka Yemsalemi kwenda Gaza; nayo ni jangwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Malaika wa Bwana alimwambia Filipo, “Jitayarishe uende kusini kupitia njia inayotoka Yerusalemu kwenda Gaza.” (Njia hiyo hupita jangwani).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Malaika wa Bwana alimwambia Filipo, “Jitayarishe uende kusini kupitia njia inayotoka Yerusalemu kwenda Gaza.” (Njia hiyo hupita jangwani).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Malaika wa Bwana alimwambia Filipo, “Jitayarishe uende kusini kupitia njia inayotoka Yerusalemu kwenda Gaza.” (Njia hiyo hupita jangwani).

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Basi malaika wa Mwenyezi Mungu akamwambia Filipo, “Nenda upande wa kusini kwenye ile barabara inayotoka Yerusalemu kuelekea Gaza ambayo ni jangwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Basi malaika wa Mwenyezi Mungu akamwambia Filipo, “Nenda upande wa kusini kwenye ile barabara itokayo Yerusalemu kuelekea Gaza ambayo ni jangwa.”

Tazama sura Nakili




Matendo 8:26
18 Marejeleo ya Msalaba  

Wakasema, Kornelio akida, mtu mwenye haki, mcha Mungu, aliye na sifa njema kwa taifa lote la Wayahudi, alionywa na malaika mtakatifu kutuma watu kwako, uende nyumbani kwake, apate kusikiliza maneno yako.


Na yule malaika aliyesema nae akiisha kuondoka, Kornelio akaita watumishi wawili wa nyumba yake, na askari mmoja, mtu mtawa, katika wale waliomkhudumia daima:


Marra malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu: akaliwa na funza, akatoa roho.


Kwa maana usiku huu wa leo malaika wa Mungu yule ambae mimi ni mtu wake, na udiye nimtumikiae, alisimama karibu nami akaniambia,


lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,


Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari bili, ukashikamane nalo.


Filipo akatelemka akaingia mji wa Samaria, akawakhubiri Kristo.


Hawo wote si roho zitumikazo, wakitumwa kuwakhudumu wale watakaourithi wokofu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo