Matendo 8:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 Simon akajibu, akasema, Niombeeni ninyi kwa Mungu, yasinifikilie mambo haya uliyosema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Simoni akajibu, “Tafadhali, niombeeni kwa Bwana lisije likanipata lolote kati ya hayo mliyosema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Simoni akajibu, “Tafadhali, niombeeni kwa Bwana lisije likanipata lolote kati ya hayo mliyosema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Simoni akajibu, “Tafadhali, niombeeni kwa Bwana lisije likanipata lolote kati ya hayo mliyosema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Ndipo Simoni akajibu, “Niombeeni kwa Mwenyezi Mungu, ili hayo mliyosema lolote lisinitokee.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Ndipo Simoni akajibu, “Niombeeni kwa Mwenyezi Mungu, ili hayo mliyosema lolote yasinitukie.” Tazama sura |