Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 8:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Watu watawa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo mengi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Watu wamchao Mungu walimzika Stefano na kumfanyia maombolezo makubwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Watu wamchao Mungu walimzika Stefano na kumfanyia maombolezo makubwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Watu wamchao Mungu walimzika Stefano na kumfanyia maombolezo makubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Watu wacha Mungu wakamzika Stefano na kumwomboleza sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Watu wacha Mungu wakamzika Stefano na kumwombolezea sana.

Tazama sura Nakili




Matendo 8:2
19 Marejeleo ya Msalaba  

Wauafunzi wake waliposikia khabari, wakaenda, wakachukua mayiti yake, wakamzika.


Bassi kulikuwako mtu katika Yerusalemi, jina lake Sumeon; na yule mtu mwenye haki, mtawa, akitazamia faraja ya Israeli: na Roho Mtakatifu alikuwa pamoja nae.


mtu nitawa, mcha Mungu, yeye na nyumba yake yote, nae alikuwa akiwapa watu sadaka nyingi, na kumwomba Mungu siku zote.


Na walikuwako Yerusalemi Wayahudi wakikaa, watu watawa, watu wa killa taifa chini ya uwingu.


NA Saul alikuwa akiona vema auawe. Siku ile kukatukia adha nyingi juu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemi: wote wakatawanyika katika inchi ya Yahudi na Samaria, illa mitume.


Saul akaliharibu kanisa, akiingia killa nyumba, na kuwabarura wanaume na wanawake na kuwatupa gerezani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo