Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 8:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Nipe na mimi uwezo huu, illi killa mtu nitakaemweka mikono yangu, apokee Roho Mtakatifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 “Nipeni na mimi uwezo huo ili yeyote nitakayemwekea mikono, apokee Roho Mtakatifu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 “Nipeni na mimi uwezo huo ili yeyote nitakayemwekea mikono, apokee Roho Mtakatifu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 “Nipeni na mimi uwezo huo ili yeyote nitakayemwekea mikono, apokee Roho Mtakatifu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 akisema, “Nipeni na mimi uwezo huu ili kila mtu nitakayeweka mikono yangu juu yake apate kupokea Roho wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 akisema, “Nipeni na mimi uwezo huu ili kila mtu nitakayeweka mikono yangu juu yake apate kupokea Roho wa Mwenyezi Mungu.”

Tazama sura Nakili




Matendo 8:19
9 Marejeleo ya Msalaba  

Mwawezaje kuamini ninyi mnaopokezanya utukufu ninyi kwa ninyi, na utukufu ule utokao kwa Mungu aliye wa pekee hamwutafuti?


Wakaweka mikono yao juu yao, nao wakapokea Roho Mtakatifu.


Hatta Simon alipoona ya kuwa watu wanapewa Roho Mtakatifu kwa kuwekwa mikono ya mitume, akataka kuwapa fedha, akisema,


Petro akamwambia, Fedha yako na ipotelee mbali pamoja nawe, kwa kuwa umedhani ya kuwa karama ya Mungu yapatikana kwa mali.


Naliliandikia kanisa, lakini Diotrefe apendae kuwa wa kwanza kati yao, hatukubali.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo