Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 8:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Hatta Simon alipoona ya kuwa watu wanapewa Roho Mtakatifu kwa kuwekwa mikono ya mitume, akataka kuwapa fedha, akisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Hapo Simoni alingamua kwamba kwa kuwekewa mikono ya mitume waumini walipewa Roho Mtakatifu. Hivyo aliwapa Petro na Yohane fedha akisema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Hapo Simoni alingamua kwamba kwa kuwekewa mikono ya mitume waumini walipewa Roho Mtakatifu. Hivyo aliwapa Petro na Yohane fedha akisema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Hapo Simoni aling'amua kwamba kwa kuwekewa mikono ya mitume waumini walipewa Roho Mtakatifu. Hivyo aliwapa Petro na Yohane fedha akisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Simoni alipoona kuwa watu wanapokea Roho wa Mungu mitume walipoweka mikono juu yao, akataka kuwapa fedha

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Simoni alipoona kuwa watu wanapokea Roho wa Mwenyezi Mungu mitume walipoweka mikono juu yao, akataka kuwapa fedha

Tazama sura Nakili




Matendo 8:18
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ponyeni wagonjwa, takaseni wenye ukoma, fufueni wafu, fukuzeni pepo; mmepata burre, toeni burre.


Wakaweka mikono yao juu yao, nao wakapokea Roho Mtakatifu.


Nipe na mimi uwezo huu, illi killa mtu nitakaemweka mikono yangu, apokee Roho Mtakatifu.


na majadiliano ya watu walioharibiwa akili zao, walioikosa kweli, wakidhani ya kuwa utawa ni njia ya kupata faida; ujitenge na watu kama hao,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo