Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 8:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 kwa maana bado hajawashukia hatta mmoja wao, illa wamebatizwa tu kwa jina lake Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 maana wakati huo Roho Mtakatifu hakuwa amemshukia yeyote kati yao; walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 maana wakati huo Roho Mtakatifu hakuwa amemshukia yeyote kati yao; walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 maana wakati huo Roho Mtakatifu hakuwa amemshukia yeyote kati yao; walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 kwa sababu Roho wa Mungu alikuwa bado hajawashukia hata mmoja ila wamebatizwa tu katika jina la Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 kwa sababu Roho wa Mwenyezi Mungu alikuwa bado hajawashukia hata mmoja ila wamebatizwa tu katika jina la Bwana Isa.

Tazama sura Nakili




Matendo 8:16
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, enendeni, kawafanyeni mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;


akawauliza, Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? Wakamjibu, La, hatta kusikia kwamba kuna Roho Mtakatifu hatukusikia.


Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe killa mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.


Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Yesu Kristo, twalibatizwa katika mauti yake?


Maana ninyi nyote mliobatizwa na kuingizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo