Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 8:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Wakashuka, wakawaombea wrampokee Roho Mtakatifu:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Walipofika waliwaombea hao waumini ili wampokee Roho Mtakatifu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Walipofika waliwaombea hao waumini ili wampokee Roho Mtakatifu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Walipofika waliwaombea hao waumini ili wampokee Roho Mtakatifu;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Nao walipofika wakawaombea ili wampokee Roho Mtakatifu wa Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Nao walipofika wakawaombea ili wampokee Roho wa Mwenyezi Mungu,

Tazama sura Nakili




Matendo 8:15
7 Marejeleo ya Msalaba  

Tena nawaambieni, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.


akawauliza, Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? Wakamjibu, La, hatta kusikia kwamba kuna Roho Mtakatifu hatukusikia.


Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe killa mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.


Kwa hiyo yeye anenae kwa lugha na aombe apewe kufasiri.


Maana najua ya kuwa haya yatanigeukia kuwa wokofu wangu, kwa sababu ya kuomba kwenu, na kuruzukiwa Roho ya Yesu Kristo,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo