Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Wale wazee wetu wakamwonea wivu Yusuf, wakamwuza aende Misri. Mungu akawa pamoja nae,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 “Wale mababu walimwonea wivu Yosefu, wakamwuza utumwani Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 “Wale mababu walimwonea wivu Yosefu, wakamwuza utumwani Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 “Wale mababu walimwonea wivu Yosefu, wakamwuza utumwani Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 “Kwa sababu hao baba zetu wa zamani walimwonea wivu Yusufu ndugu yao, walimuuza kama mtumwa huko Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 “Kwa sababu wazee wetu walimwonea wivu Yusufu ndugu yao, walimuuza kama mtumwa huko Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:9
14 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa husuda.

Upendo husubiri, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo