Matendo 7:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Akampa agano la Tohara; bassi Ibrahimu akazaa Isaak, akamtahiri siku ya nane. Isaak akamzaa Yakobo, Yakobo akawazaa wale thenashara, wazee wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Halafu Mungu akafanya naye agano ambalo tohara ni ishara yake. Hivyo, Abrahamu alimtahiri mtoto wake Isaka siku ya nane baada ya kuzaliwa. Na Isaka, vivyo hivyo, alimtahiri Yakobo. Naye Yakobo aliwatendea wale mababu kumi na wawili vivyo hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Halafu Mungu akafanya naye agano ambalo tohara ni ishara yake. Hivyo, Abrahamu alimtahiri mtoto wake Isaka siku ya nane baada ya kuzaliwa. Na Isaka, vivyo hivyo, alimtahiri Yakobo. Naye Yakobo aliwatendea wale mababu kumi na wawili vivyo hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Halafu Mungu akafanya naye agano ambalo tohara ni ishara yake. Hivyo, Abrahamu alimtahiri mtoto wake Isaka siku ya nane baada ya kuzaliwa. Na Isaka, vivyo hivyo, alimtahiri Yakobo. Naye Yakobo aliwatendea wale mababu kumi na wawili vivyo hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ndipo akampa Ibrahimu agano la tohara. Naye Ibrahimu akamzaa Isaka na kumtahiri siku ya nane. Baadaye Isaka akamzaa Yakobo, naye Yakobo akawazaa wale baba zetu wa zamani kumi na wawili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ndipo akampa Ibrahimu Agano la tohara. Naye Ibrahimu akamzaa Isaka na kumtahiri siku ya nane. Baadaye Isaka akamzaa Yakobo, naye Yakobo akawazaa wale wazee wetu kumi na wawili. Tazama sura |