Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 7:59 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

59 Wakampiga mawe Stefano, nae akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

59 Waliendelea kumpiga Stefano kwa mawe huku akiwa anasali: “Bwana Yesu, ipokee roho yangu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

59 Waliendelea kumpiga Stefano kwa mawe huku akiwa anasali: “Bwana Yesu, ipokee roho yangu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

59 Waliendelea kumpiga Stefano kwa mawe huku akiwa anasali: “Bwana Yesu, ipokee roho yangu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

59 Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, “Bwana Isa, pokea roho yangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

59 Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, “Bwana Isa, pokea roho yangu.”

Tazama sura Nakili




Matendo 7:59
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu: na alipokwisha kusema haya akatoa roho.


Na itakuwa killa atakaeliitia jiua la Bwana ataokolewa.


Bassi sasa, unakawiliani? Simama ubatizwe ukaoshe dhambi zako, ukiliitia jina la Bwana.


hatta hapa ana mamlaka kwa makuhani wakuu awafunge wote wakuitiao Jina lako.


Na wote waliosikia wakashangaa, wakasema, Siye huyu aliyewateka walioliita Jina hili Yerusalemi? Na hapa amekuja kusudi hili, awafunge na kuwapeleka kwa makuhani wakuu?


kwa kanisa la Mungu lililo katika Korintho, lililotakaswa katika Kristo Yesu, walioitwa wawe watakatifu pamoja na wote wanaoliitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo killa mahali, Bwana wao na wetu:


Lakini zikimbie tamaa za ujana; nkafuate haki, na imani, na uaminifu, na upendo, na amani, pamoja na hao wamwitiao Bwana kwa moyo safi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo