Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 7:58 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

58 wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyekwitwa Saul.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

58 wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Wale mashahidi wakayaweka makoti yao chini ya ulinzi wa kijana mmoja jina lake Saulo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

58 wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Wale mashahidi wakayaweka makoti yao chini ya ulinzi wa kijana mmoja jina lake Saulo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

58 wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Wale mashahidi wakayaweka makoti yao chini ya ulinzi wa kijana mmoja jina lake Saulo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

58 Wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka mavazi yao miguuni mwa kijana mmoja aliyeitwa Sauli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

58 Wakamtupa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka mavazi yao miguuni mwa kijana mmoja ambaye jina lake aliitwa Sauli.

Tazama sura Nakili




Matendo 7:58
17 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaondoka wakamtoa nje ya mji, wakamchukua hatta ukingo wa kilima kile kilichojengwa mji wao, wapate kumporomosha:


Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, mimi nami nilikuwa nikisimama karibu, nikikubali auawe, nikizitunza nguo zao waliomwua.


Walipokuwa wakipiga kelele na kutupa mavazi yao na kurusharusha mavumbi juu,


nikawaudhi watu wa Njia hii kiasi cha kuwaua, nikawafunga, nikiwatia gerezani, wanaume na wanawake.


nikayafanya Yerusalemi: niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na makuhani wakuu; na walipouawa nalitoa idhini yangu.


Hatta wakashawishi watu waliosema, Tumemsikia mtu huyu akinena maneno ya kumtukana Musa na Mungu.


Wakasimamisha mashahidi wa uwongo waliosema, Mtu huyu haachi kusema maneno ya kufuru juu ya mahali hapa patakatifu na juu ya torati:


Wakapiga kelele kwa sauti kuu, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja,


NA Saul alikuwa akiona vema auawe. Siku ile kukatukia adha nyingi juu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemi: wote wakatawanyika katika inchi ya Yahudi na Samaria, illa mitume.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo