Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:57 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

57 Wakapiga kelele kwa sauti kuu, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

57 Hapo, watu wote katika kile kikao cha Baraza, wakapiga kelele na kuziba masikio yao kwa mikono yao. Kisha wakamrukia wote kwa pamoja,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

57 Hapo, watu wote katika kile kikao cha Baraza, wakapiga kelele na kuziba masikio yao kwa mikono yao. Kisha wakamrukia wote kwa pamoja,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

57 Hapo, watu wote katika kile kikao cha Baraza, wakapiga kelele na kuziba masikio yao kwa mikono yao. Kisha wakamrukia wote kwa pamoja,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

57 Lakini wao wakapiga kelele kwa sauti kubwa, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

57 Lakini wao wakapiga kelele kwa sauti kubwa, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:57
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi, akawa karibu kuuawa nao, nikaenda pamoja na kikosi cha askari nikamwokoa, nilipopata khabari ya kuwa yeye ni Mrumi.

Bassi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.

Akasema, Tazama! naona mbingu zimefunuliwa, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa Mungu.

wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyekwitwa Saul.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo