Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 7:54 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

54 Bassi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

54 Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

54 Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

54 Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

54 Wazee wa Baraza la Wayahudi waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

54 Waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno.

Tazama sura Nakili




Matendo 7:54
13 Marejeleo ya Msalaba  

na kuwatupa katika tanuru ya moto; ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.


na kuwatupa katika tanuru ya moto; ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.


Mfalme akawaambia watumishi, Mfungeni miguu na mikono, mchukueni mkamtupe katika giza la nje: ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.


atamkata vipande viwili, ataweka sehemu yake pamoja na wanafiki: ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.


Na mtumishi yule asiyefaa, mtupeni mbali katika giza ya nje; huko kutakuwa kilio na kusaga meno.


bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje; ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.


Hapo kutakuwako kulia na kusaga meno, mtakapomwona Ibrahimu na Isaak na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, na ninyi wenyewe nikitupwa nje.


Waliposikia wakachomwa mioyo yao; wakafanya shauri kuwaua.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo