Matendo 7:53 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192153 ninyi mlioipokea torati kwa khuduma ya malaika wala hamkuishika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema53 Nyinyi mliipokea ile sheria iliyoletwa kwenu na Malaika, lakini hamkuitii.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND53 Nyinyi mliipokea ile sheria iliyoletwa kwenu na Malaika, lakini hamkuitii.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza53 Nyinyi mliipokea ile sheria iliyoletwa kwenu na Malaika, lakini hamkuitii.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu53 Ninyi ndio mlipokea sheria zilizoletwa kwenu na malaika, lakini hamkuzitii.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu53 Ninyi ndio mlipokea sheria zilizoletwa kwenu na malaika, lakini hamkuzitii.” Tazama sura |