Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Wala hakumpa urithi humu hatta kiasi cha kuweka mguu: akaahidi kwamba atampa, iwe milki yake, na ya, uzao wake baadae, alipokuwa hana mtoto.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Mungu hakumpa hata sehemu moja ya nchi hii iwe mali yake; hata hivyo, alimwahidi kumpa nchi hii iwe yake na ya wazawa wake, ingawaje wakati huu hakuwa na mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Mungu hakumpa hata sehemu moja ya nchi hii iwe mali yake; hata hivyo, alimwahidi kumpa nchi hii iwe yake na ya wazawa wake, ingawaje wakati huu hakuwa na mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Mungu hakumpa hata sehemu moja ya nchi hii iwe mali yake; hata hivyo, alimwahidi kumpa nchi hii iwe yake na ya wazawa wake, ingawaje wakati huu hakuwa na mtoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Mungu hakumpa urithi wowote katika nchi hii, hakumpa hata mahali pa kuweka wayo mmoja. Bali Mungu alimwahidi kuwa yeye na uzao wake baada yake wangeirithi hii nchi, ingawa wakati huo Ibrahimu hakuwa na mtoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Mungu hakumpa urithi wowote katika nchi hii, hakumpa hata mahali pa kuweka wayo mmoja. Bali Mungu alimwahidi kuwa yeye na uzao wake baada yake wangeirithi hii nchi, ingawa wakati huo Ibrahimu hakuwa na mtoto.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:5
22 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo