Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 7:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

49 Mbingu ni kiti changu cha enzi, Na inchi ni mahali pa kutia miguu yangu: Ni nyumba gani mtakayonijengea? asema Bwana: Au ni mahali gani nitakapostarebe?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 ‘Bwana asema: Mbingu ni kiti changu cha enzi na dunia ni kiti changu cha kuwekea miguu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 ‘Bwana asema: Mbingu ni kiti changu cha enzi na dunia ni kiti changu cha kuwekea miguu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 ‘Bwana asema: Mbingu ni kiti changu cha enzi na dunia ni kiti changu cha kuwekea miguu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 “ ‘Mbingu ni kiti changu cha enzi, nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. Mtanijengea nyumba ya namna gani? asema Mwenyezi Mungu. Au mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 “ ‘Mbingu ni kiti changu cha enzi, nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. Mtanijengea nyumba ya namna gani? asema Bwana Mwenyezi. Au mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi?

Tazama sura Nakili




Matendo 7:49
13 Marejeleo ya Msalaba  

Nae aapae kwa mbingu, yuapa kwa kiti cha Mungu, na kwa yeye akaae juu yake.


Yesu akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitahomolewa.


Yesu akamwambia, Ee mwanamke, uniamini, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala katika Yerusalemi.


Yeye asbindae, nitampa kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi, kama mimi nilivyoshinda, nikaketi pamoja na Baba yangu katika kiti chake cha enzi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo