Matendo 7:48 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192148 Illakini yeye aliye juu hakai katika nyumba zilizofanyika kwa mikono, kama vile asemavyo nabii: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 “Hata hivyo, Mungu Mkuu haishi katika nyumba zilizojengwa na binadamu; kama nabii asemavyo: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 “Hata hivyo, Mungu Mkuu haishi katika nyumba zilizojengwa na binadamu; kama nabii asemavyo: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 “Hata hivyo, Mungu Mkuu haishi katika nyumba zilizojengwa na binadamu; kama nabii asemavyo: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 “Hata hivyo, Yeye Aliye Juu Sana hakai kwenye nyumba zilizojengwa kwa mikono ya wanadamu. Kama nabii alivyosema: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 “Hata hivyo, Yeye Aliye Juu Sana hakai kwenye nyumba zilizojengwa kwa mikono ya wanadamu. Kama nabii alivyosema: Tazama sura |