Matendo 7:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192146 aliyepata kibali mbele ya Mungu, nae aliomba ampatie Mungu wa Yakobo maskani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Daudi alipata upendeleo kwa Mungu, akamwomba Mungu ruhusa ya kumjengea makao yeye aliye Mungu wa Yakobo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Daudi alipata upendeleo kwa Mungu, akamwomba Mungu ruhusa ya kumjengea makao yeye aliye Mungu wa Yakobo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Daudi alipata upendeleo kwa Mungu, akamwomba Mungu ruhusa ya kumjengea makao yeye aliye Mungu wa Yakobo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 ambaye alipata kibali kwa Mungu, naye akaomba kwamba ampatie Mungu wa Yakobo maskani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 ambaye alipata kibali kwa Mungu, naye akaomba kwamba ampatie Mungu wa Yakobo maskani. Tazama sura |