Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 ambayo baba zetu waliipokea; wakaiingiza pamoja na Yoshua katika milki ya mataifa wale, ambao Mungu aliwafukuza mbele ya baba zetu, mpaka siku za Daud:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Kisha babu zetu walilipokezana wao kwa wao mpaka wakati wa Yoshua, walipoinyakua ile nchi kutoka kwa mataifa ambayo Mungu aliyafukuza mbele yao. Hapo lilikaa mpaka nyakati za Daudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Kisha babu zetu walilipokezana wao kwa wao mpaka wakati wa Yoshua, walipoinyakua ile nchi kutoka kwa mataifa ambayo Mungu aliyafukuza mbele yao. Hapo lilikaa mpaka nyakati za Daudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Kisha babu zetu walilipokezana wao kwa wao mpaka wakati wa Yoshua, walipoinyakua ile nchi kutoka kwa mataifa ambayo Mungu aliyafukuza mbele yao. Hapo lilikaa mpaka nyakati za Daudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Baada ya kupokea Hema, baba zetu waliingia nalo walipokuja na Yoshua wakati walimiliki nchi, Mungu alipoyafukuza mataifa mbele yao. Nalo lilidumu katika nchi hadi wakati wa Daudi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Baba zetu wakiisha kulipokea hema kwa kupokezana wakiongozwa na Yoshua katika milki ya nchi kutoka kwa yale mataifa ambayo Mungu aliyafukuza mbele yao, nalo likadumu katika nchi mpaka wakati wa Daudi,

Tazama sura Nakili

Matendo 7:45
20 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipokwisha kuwaharibu mataifa saba katika inchi ya Kanaan akawajia inchi yao iwe urithi.

Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo