Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 Ile khema ya shahada ilikuwa pamoja na baba zetu jangwani, kama alivyoagiza yeye aliyesema na Musa, ya kwamba aifanye sawa sawa na mfano ule aliouona;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Kule jangwani babu zetu walikuwa na lile hema la maamuzi. Lilitengenezwa kama Mungu alivyomwambia Mose alifanye; nakala kamili ya kile alichooneshwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Kule jangwani babu zetu walikuwa na lile hema la maamuzi. Lilitengenezwa kama Mungu alivyomwambia Mose alifanye; nakala kamili ya kile alichooneshwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Kule jangwani babu zetu walikuwa na lile hema la maamuzi. Lilitengenezwa kama Mungu alivyomwambia Mose alifanye; nakala kamili ya kile alichooneshwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 “Baba zetu walikuwa na lile Hema la Ushuhuda huko jangwani, ambalo lilitengenezwa kama Mungu alivyomwelekeza Musa, kulingana na kielelezo alichokiona.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 “Baba zetu walikuwa na lile Hema la Ushuhuda huko jangwani. Lilikuwa limetengenezwa kama Mungu alivyokuwa amemwelekeza Musa, kulingana na kielelezo alichoona.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:44
17 Marejeleo ya Msalaba  

mkhudumu wa patakatifu, na wa khema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwana Adamu.

watumikao kwa mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile khema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo