Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Nanyi mlichukua khema ya Molok, Na nyota za mungu wenu Refan, Sanamu mlizozifanya illi kuziabudu: Nami nitawabamisha mwende mbali hatta Babel.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Nyinyi mlikibeba kibanda cha mungu Moloki, na sanamu ya nyota ya mungu wenu Refani. Sanamu mlizozifanya ndizo mlizoabudu. Kwa sababu hiyo nitawapeleka mateka mbali kupita Babuloni!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Nyinyi mlikibeba kibanda cha mungu Moloki, na sanamu ya nyota ya mungu wenu Refani. Sanamu mlizozifanya ndizo mlizoabudu. Kwa sababu hiyo nitawapeleka mateka mbali kupita Babuloni!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Nyinyi mlikibeba kibanda cha mungu Moloki, na sanamu ya nyota ya mungu wenu Refani. Sanamu mlizozifanya ndizo mlizoabudu. Kwa sababu hiyo nitawapeleka mateka mbali kupita Babuloni!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 La, ninyi mliinua madhabahu ya Moleki, na nyota ya mungu wenu Refani, vinyago mlivyotengeneza ili kuviabudu. Kwa hiyo nitawapeleka mbali’ kuliko Babeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 La, ninyi mliinua madhabahu ya Moleki, na nyota ya mungu wenu Refani, vinyago mlivyotengeneza ili kuviabudu. Kwa hiyo nitawapeleka mbali’ kuliko Babeli.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:43
13 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo