Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Bassi Mungu akaghairi, akawaacha, wakaliabudu jeshi la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii, Je! mlinitolea dhabihu na sadaka Miaka arubaini katika jangwa, enyi nyumba ya Israeli?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Lakini Mungu aliondoka kati yao, akawaacha waabudu nyota za anga, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii: ‘Enyi watu wa Israeli! Si mimi mliyenitolea tambiko na sadaka kwa miaka arubaini kule jangwani!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Lakini Mungu aliondoka kati yao, akawaacha waabudu nyota za anga, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii: ‘Enyi watu wa Israeli! Si mimi mliyenitolea tambiko na sadaka kwa miaka arubaini kule jangwani!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Lakini Mungu aliondoka kati yao, akawaacha waabudu nyota za anga, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii: ‘Enyi watu wa Israeli! Si mimi mliyenitolea tambiko na sadaka kwa miaka arubaini kule jangwani!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Ndipo Mungu akageuka, akawaachia waabudu jeshi lote la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Manabii: “ ‘Je, mliniletea dhabihu na sadaka kwa miaka arobaini kule jangwani, ee nyumba ya Israeli?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Ndipo Mungu akageuka, akawaacha waabudu jeshi lote la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Manabii: “ ‘Je, mliniletea dhabihu na sadaka kwa miaka arobaini kule jangwani, ee nyumba ya Israeli?

Tazama sura Nakili

Matendo 7:42
26 Marejeleo ya Msalaba  

Imeandikwa katika manabii, Na wote watakuwa wamefundishwa na Mungu. Bassi killa aliyesikia na kujifunza kwa Baba, huja kwangu.

Angalieni, bassi, isije khabari ile iliyonenwa katika manabii,

Huyo ndiye aliyewatoa, akifanya ajabu na ishara katika inchi ya Misri, na katika bahari ya Sham, na katika jangwa muda wa miaka arubaini.

hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, wakaona matendo yangu miaka arubaini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo