Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

41 Wakafanya ndama siku zile, wakaleta dhabihu kwa sanamu ile, wakafurahia kazi ya mikono yao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Hapo ndipo walipojitengenezea sanamu ya ndama, wakaitambikia na kukifanyia sherehe kitu ambacho ni kazi ya mikono yao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Hapo ndipo walipojitengenezea sanamu ya ndama, wakaitambikia na kukifanyia sherehe kitu ambacho ni kazi ya mikono yao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Hapo ndipo walipojitengenezea sanamu ya ndama, wakaitambikia na kukifanyia sherehe kitu ambacho ni kazi ya mikono yao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Huu ni ule wakati walitengeneza sanamu katika umbo la ndama, wakailetea sadaka kufanya maadhimisho kwa ajili ya kile kitu walichokitengeneza kwa mikono yao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Huu ni ule wakati walitengeneza sanamu katika umbo la ndama, wakailetea sadaka kufanya maadhimisho kwa ajili ya kile kitu walichokitengeneza kwa mikono yao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:41
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana Adamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia kazi za mikono yao hatta wasiwasujudu mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za mili, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo