Matendo 7:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Ndipo alitoka katika inchi ya Wakaldayo, akakaa Kharran, akatoka huko baada ya kufa baba yake, Mungu akamhamisha hatta inchi hii mnayokaa ninyi sasa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kwa hivyo, Abrahamu alihama nchi ya Kaldayo, akaenda kukaa Harani. Baada ya kifo cha baba yake, Mungu alimtoa tena Harani akaja kukaa katika nchi hii mnayokaa sasa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kwa hivyo, Abrahamu alihama nchi ya Kaldayo, akaenda kukaa Harani. Baada ya kifo cha baba yake, Mungu alimtoa tena Harani akaja kukaa katika nchi hii mnayokaa sasa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kwa hivyo, Abrahamu alihama nchi ya Kaldayo, akaenda kukaa Harani. Baada ya kifo cha baba yake, Mungu alimtoa tena Harani akaja kukaa katika nchi hii mnayokaa sasa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Hivyo aliondoka katika nchi ya Wakaldayo akaenda kukaa Harani. Baada ya kifo cha baba yake, Mungu akamtoa huko akamleta katika nchi hii ambayo mnaishi sasa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Hivyo aliondoka katika nchi ya Wakaldayo akaenda kukaa Harani. Baada ya kifo cha baba yake, Mungu akamtoa huko akamleta katika nchi hii ambayo mnaishi sasa. Tazama sura |