Matendo 7:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192139 Mtu huyo baba zetu hawakutaka kumtii, bali wakamsukumia mbali, na kwa mioyo yao wakarudi Misri, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 “Lakini yeye ndiye babu zetu waliyekataa kumsikiliza; walimsukuma kando, wakatamani kurudi Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 “Lakini yeye ndiye babu zetu waliyekataa kumsikiliza; walimsukuma kando, wakatamani kurudi Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 “Lakini yeye ndiye babu zetu waliyekataa kumsikiliza; walimsukuma kando, wakatamani kurudi Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 “Lakini baba zetu walikataa kumtii Musa, badala yake wakamkataa na kuielekeza mioyo yao Misri tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 “Lakini baba zetu walikataa kumtii Musa, badala yake wakamkataa na kuielekeza mioyo yao Misri tena. Tazama sura |