Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 7:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Musa huyo ndiye aliyewaambia wana wa Israeli, Bwana Mungu wenu atawainulieni nabii katika ndugu zenu, kama mimi: mtamsikia huyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Mose ndiye aliyewaambia watu wa Israeli: ‘Mungu atawateulieni nabii kama mimi miongoni mwa ndugu zenu nyinyi wenyewe.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Mose ndiye aliyewaambia watu wa Israeli: ‘Mungu atawateulieni nabii kama mimi miongoni mwa ndugu zenu nyinyi wenyewe.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Mose ndiye aliyewaambia watu wa Israeli: ‘Mungu atawateulieni nabii kama mimi miongoni mwa ndugu zenu nyinyi wenyewe.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 “Huyu ndiye yule Musa aliyewaambia Waisraeli, ‘Mungu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu wenyewe.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 “Huyu ndiye yule Musa aliyewaambia Waisraeli, ‘Mwenyezi Mungu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu wenyewe.’

Tazama sura Nakili




Matendo 7:37
12 Marejeleo ya Msalaba  

Makutano wakanena, Huyu ni Yesu, yule nabii wa Nazareti ya Galilaya.


Likawako wingu, likawatia uvuli: sauti ikatoka katika lile wingu, Huyu ui Mwana wangu, mpendwa wangu, msikieni yeye.


Sauti ikatoka katika lile wingu ikasema, Huyu ni Mwana wangu, mpendwa wangu, msikieni yeye.


Bassi Pilato akamwambia, Wewe u mfalme bassi? Yesu akajibu, Wewe wanena ya kwamba mimi ni mfalme. Mimi nalizaliwa kwa ajili ya haya na kwa ajili ya haya nalikuja ulimwenguni, illi niishuhudie kweli. Killa aliye wa kweli hunisikia sauti yangu.


Yeye ndiye aliyekuwa katika kanisa jangwani pamoja na yule malaika aliyesema nae katika mlima Sinai, tena pamoja na baba zetu: ndiye aliyepokea maneno ya uzima atupe sisi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo