Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 7:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Huyo ndiye aliyewatoa, akifanya ajabu na ishara katika inchi ya Misri, na katika bahari ya Sham, na katika jangwa muda wa miaka arubaini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Ndiye aliyewaongoza wale watu watoke Misri kwa kufanya miujiza na maajabu katika nchi ya Misri, katika bahari ya Shamu na jangwani, kwa muda wa miaka arubaini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Ndiye aliyewaongoza wale watu watoke Misri kwa kufanya miujiza na maajabu katika nchi ya Misri, katika bahari ya Shamu na jangwani, kwa muda wa miaka arubaini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Ndiye aliyewaongoza wale watu watoke Misri kwa kufanya miujiza na maajabu katika nchi ya Misri, katika bahari ya Shamu na jangwani, kwa muda wa miaka arubaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Aliwaongoza Waisraeli kutoka Misri baada ya kufanya ishara na maajabu mengi huko Misri, katika Bahari ya Shamu, na katika jangwa kwa muda wa miaka arobaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Aliwaongoza wana wa Israeli kutoka Misri, baada ya kufanya ishara na maajabu mengi huko Misri, katika Bahari ya Shamu, na katika jangwa kwa muda wa miaka arobaini.

Tazama sura Nakili

Matendo 7:36
38 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Yesu akamwambia, Msipoona ishara na maajabu hamtaamini kabisa.

Na panapo muda wa miaka arubaini akawaruzuku katika jangwa.

Bassi Mungu akaghairi, akawaacha, wakaliabudu jeshi la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii, Je! mlinitolea dhabihu na sadaka Miaka arubaini katika jangwa, enyi nyumba ya Israeli?

msifanye migumu mioyo yenu, kama wakati wa kunikasirisha, siku ya kujaribiwa katika jangwa,

hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, wakaona matendo yangu miaka arubaini.

Kwa sababu hawakudumu katika agano langu, mimi nami sikuwaangalia, asema Bwana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo